WANAWAKE WATANASHATI/MASHUHURI WAKITANZANIA

Jul 21, 2011

Unaweza amini kwamba ukitafuta kwenye net at least wanawake 10 mashuhuri Tanzania/wakitanzania unapata majibu mawili tuu "Mwamvita Makamba" na "Susan Mashibe." Lakini sidhani kama ni hao wawili tuu, what about akina Rose Migiro?? So, nikaamua kutafuta wanawake mashuhuri/wa shoka Africa. Majibu niliyopata yalikuwa majina zaidi ya wanawake wa nchi nyingine za Africa na wawili tuu katika wanawake hao mashuhuri wakiafrica ni watanzania na sio "Mwamvita wala Susan Mashibe." Nikaona isiwe shida, ngoja ni nitafute basi, Worlds Most Powerful International/Global Women, well, matokeo yalikuwa sio mazuri sana kwamaana katika wanawake atleast 35 walio orodheshwa na Forbes hakuna hata mmoja aliyekuwa Mtanzania. So, hii situation ikanibidi nitengeneze list yangu mwenyewe ya wanawake wa shoka Tanzania. Mpaka sasa najaribu kufikiria inakuwaje hakuna list ya wanawake mashuhuri Tanzania wakati ukitype wanawake mashuhuri Duniani unapata mzinga mmoja wa list from Forbes. Anyways, haya hii ndo list yangu niliyotengeneza. Viwango vinavyotumiwa na Forbes kupima umashuhuri wa mtu includes; influence yao kwa watu, elimu, nafasi ya kazi (cheo), rasilimali and many more ila kwa kwetu huko TZ ambapo hela ni ya kunulia madafu niliamu kurankisha tuu according to how well they are known kwenye community "Jina Kubwa." Unless kunalist inayowatambua wanawake mashuhuri Tanzania ambayo mtu mwingine anaijua na mi siijui then this is what it is!
First Lady Mama Salma Kikwete
Susan Mashibe - TanJet Director

Anne Makinda - Spika wa Bunge
Sophia Simba - Waziri wa nchi - Utawala Bora

Mwamvita Makamba - Chief Officer -Vodacom
Anna Abdallah - Mbunge kwa tiket ya CCM

Khadija Mwanamboka - Fashion Designer
Cynthia Y. WrightShare this article on :

0 comments:

Post a Comment

 
© Copyright 2010-2011 tzMOMz Cafe All Rights Reserved.
Template Design by Herdiansyah Hamzah | Published by Borneo Templates | Powered by Blogger.com.