SEX/MAPENZI WAKATI MJAMZITO?

Oct 11, 2012Okay, so nimeulizwa kama ninaweza kuongelea/kuandika juu ya kufanya mapenzi/having sex wakati wa ujauzito.
well, ninachojua mimi, ni kwamba kufanya mapenzi wakati wa ujauzito (wakati mama/msichana/mwanamke ni mjamzito) ni kitu cha kawaida and it can be fun of course.

vitu vya kuangalia ni kwamba hubleed wakati uko mjamzito ama labda partner wako ana magonjwa ya zinaa then labda utataka kurefrain from having sex ukiwa mjamzito.
kama doctor wako amekwambia kutofanya mapenzi then definitely usifanye wakati uko mjamzito. na mara nyingi doctor atakwambia labda kutofanya mapenzi miezi miwili ya kwanza and thats about it.

now kama umeshawahi kuwa mjamzito you definitely understand ni jinsi gani mwanamke unajisikia uvivu, kuchoka all the time, the most ni wanawake wengi hawajisikiagi vizuri (beautiful) wakati wako wajawazito kutokana na labda kunenepa n.k. its all hormonal.
wakati wa ujauzito ndo wakati wa kuconnect with your partner. let him know how you are feeling and learn how he is dealing with wewe kuwa mjamzito 
so kama unataka kuchangamka na kuenjoy sex/mapenzi wakati uko mjamzito, you definitely need to be creative.
steps ya mtoto anavyokuwa toka miezi ya kwanza kwanza

ukumbuke huu ndo ule wakati wanasema wanaume wengi huwa tempted kucheat kwasababu hawatimiliziwi mahitaji yao. wedha hii ni kweli or not sijui.
anyways, njia chache zinazo sujestiwa kufanya kama ni mjamzito na unahamu na mapenzi;

  • kuwa juu yake
  • kulala kwa kuelekea upande mmoja (imagine kama ukivilaza vijiko viwili pamoja)
  • kupiga magoti (hii inasaidia kutoweka pressure kwenye mgogo)
of course njia nyingine nyingi zinaweza kuwa unconfortable. 
be even more intimate with each other


so unless una matatizo wakati wa umebeba mimba then ongea na docta wako ili ujue kama unaweza bado kuendelea kufanya mapenzi. otherwise, kama ni mjamzito na una jiuliza if its okay to have sex, well, yes, you can have as much sex as you want till your body says NO MORE PLEASE! 
mara nyingi sex katika kipindi cha mwisho cha ujauzito inasaidia kwenda labor haraka/kupata uchungu haraka na kujifungua. hakuna chochote kitakacho muumiza mtoto kwani yuko secured kwenye shell yake.

Natumaini this was somewhat educational!!! please share your thoughts kama una cha tofauti...
happy ujauzito and sweet delivery

Share this article on :

0 comments:

Post a Comment

 
© Copyright 2010-2011 tzMOMz Cafe All Rights Reserved.
Template Design by Herdiansyah Hamzah | Published by Borneo Templates | Powered by Blogger.com.