tzMoMs vlog majibu ya maswali yako...

Latest News From

WHITE GIRL CHRONICLES

……So how does a white girl come about writing for a Swahili speaking blog? Endelea kusoma ili ujue…

……So how does a white girl come about writing for a Swahili speaking blog? Endelea kusoma ili ujue… 0

🕔 03:38, 1.Jul 2015 ****NATAKA KUCHUKUA NAFASI HII KUWA INTRODUCE KWA RAFIKI YANGU D'. Atakuwa mmoja wapo wa kuchangia kuhusu mambo ya jamii na maisha kwa ujumla. Yuko very excited kushea stori zake nasi hapa kwenye blog. Ijapokuwa atakuwa anaongea kwa kiingereza atapenda sana mkimuuliza maswali yawe kwa kiingereza ama kwa kiswahili kwani...
HAPPY FATHER’S DAY to all the best men, husband’s, father’s, uncle’s & brother’s

HAPPY FATHER’S DAY to all the best men, husband’s, father’s, uncle’s & brother’s 0

🕔 05:54, 22.Jun 2015   Sorry wapendwa kina kaka zangu..., I was having troubles with mtandao sikuweza hata kuwawish HAPPY FATHER'S DAY mapema. As always, I get excited kuhusu vitu vidogo vidogo kama hivi na kuvisherekea kwa kuwa-sifu, kuwapa moyo na nguvu kwa yale mengi mnayofanya ili kudumisha mapenzi na kuzilinda familia zenu. ...
Latest News From

AROUND THE WORLD

JUNE 16th —SIKU YA MTOTO WA AFRICA! unajua nini kuhusu hii siku?

JUNE 16th —SIKU YA MTOTO WA AFRICA! unajua nini kuhusu hii siku? 1

🕔 05:24, 17.Jun 2015 International Day of the African Child Every 16th June, we ought to give a thought to the most important part of human kind – childhood. We are always told that childhood memories are the ones that we carry with us in the whole life. Maybe you have gotten a good childhood. The source of giving attention just 1...
Latest News From

NEWS ABOUT blog

INTRODUCING new columns and contributors

INTRODUCING new columns and contributors 0

🕔 12:10, 2.Feb 2015 habarini wapenzi waungwana wa tzmoms, I hope your New Year is off to a successful one!!!! I just wanted to give you a quick update on a few little changes on the blog. Kama umekuwa ukipita mara kwa mara, natumaini utakuwa umeona upande wako wa kushoto kuna sura mbili/tatu mpya. TzMoMs imeona ni vizuri kushare nan...

ANGALIA VIDEO YANGU NA TOA MAONI YAKO, ASANTE

TzMoMs in other Languages/Lugha nyingine

Je, umesoma hizi?

USIPITWE, soma Post Mpya kwa EMAIL

Enter your email address:

Ni wakati gani unaweza kupata mtoto? -Ovulation Predictor

Please select the first day of your last menstrual period:

/ /

Usual number of days in your cycle: